Habari za Punde

Wananchi Pemba Wapatiwa Elimu ya Umiliki wa Eka Tatu

Wakili wa Serikali kuu  kutoka Ofisi ya Mwanasheria mkuu Zanzibar,Mhe.Ali Ali Hassan, akitowa ufafanuzi wa Sheria juu umiliki wa eka tatu zilizotolewa na Serikali kwa Wananchi kwa ajili ya kujiendeleza, huko katika Shehia ya Mihogoni na Shumba Vyamboni , Wilaya ya Micheweni Pemba.
Wananchi wa shehia ya Pandani Wilaya ya Wete Pemba, wakiwa katika mkutano wa ufafanuzi wa baadhi ya sheria , kutoka kwa Watendaji wa Ofisi ya Mwanasheria mkuu Zanzibar.
Picha na Hanifa Salim -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.