Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmin Maadhimisho ya Miaka 60 ya TANAPA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na baadhi ya Watalii wanaotembelea   Mbuga  za Serengeti  Mkoani Mara  wakati alipokutana nao leo Disemba 22,2019. Makamu wa Rais yupo Wilayani Serengeti  Mkoani  Mara kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na  Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yanayotarajiwa kufanyika kesho katika Eneo la Fort  Ikoma Serengeti  Mkoani  Mara.
 (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.