Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi Haroun Ali Suleiman akitoa ufafanuzi kwa Vikundi vya Ujasiriamali vya kuweka na kukopa vya shehia ya Ng'anani na Kajegwa Makunduchi kuhusu kuvisaidia zaidi Vikundi hivyo.
Baadhi ya Wanavikundi vya Ujasiriamali vya kuweka na kukopa vya shehia ya Ng'anani na Kajegwa Makunduchi Wakimsikiliza Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi Haroun Ali Suleiman huko Skuli ya Msingi Kajegwa Makunduchi.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Ayoub Mohamed Mahmoud akiwakabidhi pesa Baadhi ya Wanavikundi vya Ujasiriamali vya kuweka na kukopa kutoka shehia ya Ng'anani na Kajegwa Makunduchi katika hafla iliyofanyika Skuli ya Msingi Kajegwa Makunduchi.

Picha na Maryam Kidiko - Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment