Habari za Punde

NMB Yakabidhi Vifaa Vya Ujenzi Kwa Skuli ya Kidimni Wilaya ya Kati Unguja

Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Zanzibar.Ndg. Abdalla Duchi (mwenye suti ya bluu kulia) akimkabidhi vifaa vya ujenzi Mabati na Mbao  kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Kidimni Wilaya ya Kati Unguja Ofisa Uendeshaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kati Unguja Ndg.Hussein Idd Ali, hafla hiyo ya makabidhiano yamefanyika katika Kituo cha Walimu Dunga. 
Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Zanzibar.Ndg. Abdalla Duchi (mwenye suti ya bluu kulia) akimkabidhi Mbao kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Kidimni Wilaya ya Kati Unguja Ofisa Uendeshaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kati Unguja Ndg.Hussein Idd Ali, hafla hiyo ya makabidhiano yamefanyika katika Kituo cha Walimu Dunga. 
Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Zanzibar.Ndg.Abdalla Duchi akizungumza na wakati wa hafla ya kukabidhi Vifaa vya Ujenzi kwa ajili ya kumalizia Skuli ya Sekondari ya Kidimni Wilaya ya Kati Unguja hafla hiyo imefanyika katika Kituo cha Walimu Dunga Wilaya ya Kati Unguja jana 23-12-2019.
Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Zanzibar.Ndg.Abdalla Duchi akizungumza na wakati wa hafla ya kukabidhi Vifaa vya Ujenzi kwa ajili ya kumalizia Skuli ya Sekondari ya Kidimni Wilaya ya Kati Unguja hafla hiyo imefanyika katika Kituo cha Walimu Dunga Wilaya ya Kati Unguja jana 23-12-2019.
Ofisa Uendeshaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kati Unguja Ndg.Hussein Idd Ali akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya msaada wa vifaa vya ujenzi vya skuli ya Sekondari ya Kidimni Wilaya ya Kati Unguja vilivyotolewa na Benki ya NMB.
Ofisa Elimu Sekondari Wilaya ya kati Unguja Ndg.Makame Haji Steni akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya msaada wa vifaa vya ujenzi vilivyotolewa na benki ya NMB kwa ajili ya skuli ya Sekondari ya Kidimni. Hafla hiyo iliyofanyika katika kituo cha Walimu Dunga.
Walimu wa Wakuu wa Skuli mbalimbali katika Wilaya ya Kati Unguja wakiwa katika hafla ya makabidhiano ya msaada wa vifaa vya ujenzi katika Skuli ya Kidimni vilivyotolewa na Benki ya NMB Tanzania.
Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Zanzibar.Ndg.Abdalla Duchi akizungumza na Walimu Wakuu wa Wilaya ya Kati wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya ujenzi katika viwanja vya Kituo cha Walimu (TC) Dunga Wilaya ya Kati Unguja, kwa ajili ya kumalizia Ujenzi wa Skuli ya Sekondani ya Kidimni.
Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Zanzibar.Ndg. Abdalla Duchi akisalimiana na kuagana na Walimu Wakuu wa Skuli za Wilaya ya Kati Unguja baada ya kumalizika kwa hafla ya kukabidhi Vifaa vya Ujenzi vilivyotolewa na Benki ya NMB kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Kidimni hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Kituo cha Walimu Dunga 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.