Vijana wa Halaiki walioshiriki katika sherehe za Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, zilizofanyika Uwanja wa Amaan 12,January 2020, wakiwa katiuka viwanja vya Polisi Ziwani Jijini Zanzibar wakihudhuria hafla ya Chakula Maalum walioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Katibu wa Kamati ya Uhamasishaji na Halaiki Zanzibar. Ndg. Ali
Mohammed Bakari(Shasha) alipowasili katika viwanja vya Polisi Ziwani Zanzibar kuhudhuria
hafla ya Chakula Maalum alichowaandalia Vijana wa Halaiki katika sherehe za
Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa
Amaan 12,January 2020
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akiwa amesimama na Viongozi wa meza kuu wakati ukipigwa wimbo wa Taifa, (kulia
kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na
Katika Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya
Mzee na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.
Riziki Pembe Juma.Hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Polisi ziwani Jijini Zanzibar.
BAADHI
ya Veteran wa Young Pioneer walioshiriki katika Gwaride la Maadhimisho ya Miaka
56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa,
kabla ya kuaza kwa hafla ya Chakula Maalum kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kwa Vijana wa
Halaiki walioshiriki sherehe za
Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, zilizofanyika Uwanja wa Amaan 12,January 2020, hafla hiyo
imefanyika katika Viwanja vya Polisi Ziwani Zanzibar
BAADHI
ya Vijana walioshiki katika Halaiki ya Madhimisha ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar,
zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar,12,January2020 , wakiwa wamesimama
wakati ukipigwa wimbo wa Taifa baada ya kuwasili Mgeni rasmin Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani)
katika hafla ya Chakula Maalum alichowaandalia Vijana hao katika viwanja vya
Polisi Ziwani Zanzibar
KATIBU
wa Kamati ya Uhamasishaji na Halaiki Zanzibar .Ndg. Ali Mohammed Bakari
(Shasha) akizungumza na kutowa shukrani kwa niaba ya Washiriki wa Halaiki ya
Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, zilizofanyika katika Uwanja
wa Amaan Zanzibar 12,January.2020, wakati wa hafla ya Chakula Maalum
kilichoandaliwa kwa ajili ya Vijana hao katika
viwanja vya Polisi Ziwani Jijini Zanzibar
BAADHI
ya Viongozi na Washauri wa Rais wakiwa
katika viwanja vya Polisi Ziwani
wakijumuika na Vijana wa Halaiki katika hafla ya Chakula Maalum
kilichoandaliwa kwa Vijana hao walioshiriki Maadhimisho ya Miaka 56 ya
Mapinduzi ya Zanzibar.
VIJANA
walioshiriki Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar,
zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar,12.January.2020, wakipata chakula
Maalum kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) katika viwanja vya Polisi Ziwani
Zanzibar
VIJANA walioshiriki Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar,12.January.2020, wakipata chakula Maalum kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) katika viwanja vya Polisi Ziwani Zanzibar
VIJANA
walioshiriki Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar,
zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar,12.January.2020, wakipata chakula
Maalum kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) katika viwanja vya Polisi Ziwani
Zanzibar
VIJANA
walioshiriki Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar,
zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar,12.January.2020, wakipata chakula
Maalum kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) katika viwanja vya Polisi Ziwani
Zanzibar
WAZIRI
wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Gavu
akizungumza kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa hafla ya Chakula Maalum kilichoandaliwa
kwa Vijana walioshiriki Maashimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar ,
iliofanyika katika Viwanja vya Polisi Ziwani Jijini Zanzibar
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na baadhi ya Vijana walioshiri Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi
ya Zanzibar , zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan 12,January.2020(waliosimama
nyuma), baada ya kumalizika hafla ya chakula Maalum alichowaandalia katika
viwanja vya Polisi Ziwani Jijini Zanzibar, waliokaa (kulia kwa Rais) Makamu wa
Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, Jaji Mkuu wa Zanzibar.Mhe.
Omar Othman Makungu, Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.Mhe Mgeni
Hassan Juma na Katimu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi.Dkt.
Abdulhamid Yahya Mzee na (kushoto kwa
Rais) Katibu wa Kamati ya Uhamasishaji na Halaiki Ndg. Ali Mohammed Bakar,
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe. Riziki Pembe Juma, Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora.Mhe. Haroun Ali Suleiman na
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.Mhe. Hassan Khatib Hassan
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya Vijana wenye mahitaji maalum walioshiri katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 56 ya
Mapinduzi ya Zanzibar , zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan 12,January.2020
(waliuosimama nyuma), baada ya kumalizika
kwa hafla ya chakula Maalum alichowaandalia katika viwanja vya Polisi
Ziwani Jijini Zanzibar, waliokaa (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, Jaji Mkuu wa Zanzibar.Mhe. Omar Othman
Makungu, Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.Mhe Mgeni Hassan Juma na
Katimu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi.Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na (kushoto kwa Rais) Katibu wa
Kamati ya Uhamasishaji na Halaiki Ndg. Ali Mohammed Bakar, Waziri wa Elimu na
Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe. Riziki Pembe Juma, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Utumishi wa Umma na Utawala Bora.Mhe. Haroun Ali Suleiman na Mkuu wa Mkoa wa
Mjini Magharibi Unguja.Mhe. Hassan Khatib Hassan
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein,
akiagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, baada ya
kumalizika kwa hafla ya chakula maalum kilichoandaliwa kwa ajili ya Vijana
walioshiriki sherehe za Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, hafla
hiyo imefanyika katika viwanja vya Polisi Ziwani Jijini Zanzibar
0 Comments