Habari za Punde

MASAUNI AKABIDHI KADI NA VYETI KWA WAHITIMU WA DARASA LA ITIKADI LA CHAMA CHA MAPINDUZI KIKWAJUNI

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akimkabidi cheti Mhitimu wa Darasa la Itikadi, Nasra Abdallah (kulia) wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Tawi la Chama cha Mapinduzi (CCM) Mwembeshauri, Visiwani Zanzibar
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akimkabidi kadi Mhitimu wa Darasa la Itikadi, Mariamu Ally (kulia) wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Tawi la Chama cha Mapinduzi (CCM) Mwembeshauri, Visiwani Zanzibar.
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akimkabidi cheti Mhitimu wa Darasa la Itikadi, Abdallah Saleh (kulia) wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Tawi la Chama cha Mapinduzi (CCM) Mwembeshauri, Visiwani Zanzibar
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(wapili kulia), na viongozi wengine wa Chama cha Mapinduzi Kikwajuni wakiwaongoza wahitimu wa darasa la itikadi(hawapo pichani),kula kiapo cha utii na uaminifu baada ya kuhitimu mafunzo hayo wakati wa hafla iliyofanyika katika Tawi la Mwembeshauri Visiwani Zanzibar.
Mhitimu wa Darasa la Itikadi la Chama cha Mapinduzi,Amina Omar akila kiapo cha utii na uaminifu baada ya kuhitimu mafunzo hayo wakati wa hafla iliyofanyika katika Tawi la Mwembeshauri Visiwani Zanzibar.
Picha na Mpigapicha Wetu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.