Mradi wa Ujenzi wa majengo ya Chuo cha Amali Daya ya Mtambwe ukiendelea na ujenzi huo kwa kasi kama inavyoonekana pichani mafundi wakiendelea na ujenzi huo kama walivyokutwa na mpiga picha wetu wakiwa kazini katika ujenzi huo.
BAADHI ya nyumba za Maafa Tumbe zikiwa katika hali nzuri kwa sasa, zikisubiri kuezekwa na kufanyiwa matengenezo ya mwisho, kama zinavyoenekana katika picha
(Picha na Abdi Suleiman )
No comments:
Post a Comment