Habari za Punde

MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA UKUTA WA KUZUNGUKA MAKABURI YA WAHANGA MOTO, ENEO LA KOLAHILL MJINI MOROGORO.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akikagua  kazi ya ujenzi wa ukuta  wa kuzunguka makaburi  ya wahanga wa moto katika eneo la Kolahill mjini Morogoro, Machi 10, 2020.  Kulia ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.