Habari za Punde

Maradhi ya Corona: Zanzibar ina wagonjwa watano na watu 324 wanachunguzwa

Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na taarifa ya Maradhi ya Korona yalioikumba Dunia ambapo kwa Zanzibar hadi sasa kuna Wagonjwa Watano na watu 324 bado wanaendelea kuchunguzwa Waziri amewataka wananchi kuchukua tahadhari zaidi ikiwa ni pamoja na kutokukaa  makundi makundi ,kunawa mikono kwa sabuni kila mara na kukubali kukaa majumbani hafla iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul wakil kikwajuni Zanzibar.
Baadhi ya Masheikh Waliohudhuria katika Mkutano wa Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed  akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na taarifa ya Maradhi ya Korona yalioikumba Dunia ambapo kwa Zanzibar hadi sasa kuna Wagonjwa Watano na watu 324 bado wanaendelea kuchunguzwa hafla iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul wakil kikwajuni Zanzibar.
Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akifafanua jambo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na taarifa ya Maradhi ya Korona yalioikumba Dunia ambapo kwa Zanzibar hadi sasa kuna Wagonjwa Watano na watu 324 bado wanaendelea kuchunguzwa hafla iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul wakil kikwajuni Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika  Mkutano wa Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed   kuhusiana na taarifa ya Maradhi ya Korona yalioikumba Dunia ambapo kwa Zanzibar hadi sasa kuna Wagonjwa Watano na watu 324 bado wanaendelea kuchunguzwa hafla iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul wakil kikwajuni Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya Dk Jamala Adam Talib akijibu baadhi ya maswali yalioulizwa na Waandishi wa Habari katika  Mkutano wa Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed   kuhusiana na taarifa ya Maradhi ya Korona yalioikumba Dunia ambapo kwa Zanzibar hadi sasa kuna Wagonjwa Watano na watu 324 bado wanaendelea kuchunguzwa hafla iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul wakil kikwajuni Zanzibar. 
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.