Habari za Punde

Matukio ya Picha Mitaani Pemba.

 
Mafundi wa Kampuni ya Osaju Ltd , wakiwa katika zoezi la uwekaji wa Taa za barabarani katika eneo la barabara ya changaweni Mkoani Pemba mradi huo wa uwekaji wa Taa za barabara unatekelezwa katika maeneo ya Chakechake Wete na Mkoani Kisiwani Pemba , kama wanavyoonekana pichani wakiwa katika zoezi hilo la uwekaji wa taa hizo za Solar .
LICHA ya Serikali kuweka vizuwizi kwa ajili ya zuwia wananchi wasipitishie vyombo vyao vya moto,  katika eneo la Mungu Yupo (Changaweni) ilipodidimia barabara, lakini baadhi ya wananchi wanaotumia vyombo hivyo  wamekuwa wakikaidi na kupia katika eneo hilo, kama wanavyoonekana katika Picha.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.