Abiria Kisiwani Pemba wakiwa katika harakati za kunawa mikono yao kabla ya kupanda katika Gari ya abiria inayotowa huduma kwa Wananchi Kati ya Vitongoji  na Chakechake, kutokana na kuwepo kwa Maradhi ya Corona, Kama anavyoonekana Konda wa gari hiyo akitowa huduma hiyo kutekeleza maagizo ya Wataalum wa Afya kutumia kinga kwa kuosha mikono kwa Maji au Sanitaiza.
(Picha na Abdi  Suleiman )
 

 
.jpeg) 
 
 
 
 
 
 

 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment