Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Shein Awasili Kisiwani Pemba Kwa Ziara ya Siku Mbili

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Chama alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba kwa ziara ya Kikazi kwa siku mbili Kisiwani Pemba. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.