Habari za Punde

RC Kusini Pemba akabidhi msaada wa futari kwa waathirika wa maafa kisiwani Pemba

MKUU wa Mkoa wa kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla, akimkabidhi sadaka ya Futari mmoja ya wananchi waliopatwa na maafa ya nyumba yeke kuezuliwa paa, wakati wa mvua kubwa iliyonyesha mwanzoni mwa mwenzi wa Mei.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.