Habari za Punde

Kada wa 12 wa Chama Cha Mapinduzin Mhe. Haji Rashid Pandu Achukua Fomu ya Kuwania Urais wa Zanzibar

Kada wa CCM Mgombea Urais wa Zanzibar kutoka Wilaya ya Kati  Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Haji Rashid Pandu akikabidhi fedha kwa ajili ya uchuaji wa Fomu ya Urais akimkabidhi Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo, alipofika leo Afisi ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. akitokea Kijiji cha Bambi ni Mkulima.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.