Habari za Punde

Kada wa Chama Cha Mapinduzi wa Tisa Meja Jenerali Mstaaf Issa Suleiman Nassor Achukua Fomu Kugomea Urais wa Zanzibar

Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Meja Jenerali Mstaaf Issa Suleiman Nassor akiomba dua katika kaburi la Muassisi wa Mapinduziu ya Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, baada ya kuchukua fomu ya kugombea kuteuliwa na Chama Chake CCM kuwania nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2020.
Katibu wa Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo akimkabidhi Fomu ya kuwania kuteuliwa kugembea Urais wa Zanzibar Meja Jenerali Mstaaf Issa Suleiman Nassor. hafla hiyo ya uchukuaji wa fomu uliofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar leo 18-6-2020.
Katibu wa Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo akimkabidhi Fomu ya kuwania kuteuliwa kugembea Urais wa Zanzibar Meja Jenerali Mstaaf Issa Suleiman Nassor. hafla hiyo ya uchukuaji wa fomu uliofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar leo

Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Meja Jenerali Mstaaf Issa Suleiman Nassor akiomba dua katika kaburi la Muassisi wa Mapinduziu ya Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, baada ya kuchukua fomu ya kugombea kuteuliwa na Chama Chake CCM kuwania nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2020.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.