Habari za Punde

Kuwasili Kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Kuongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar.


Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wajumbe wa Halmashaurin Kuu ya CCM Taifa, (kushoto kwac Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Bi. Laila Ngozi. alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. 
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM pia ni Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seiuf Ali Iddi  akisalimiana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Bi. Laila Ngozi, alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar.
Kada wa Chama cha Mapinduzi aliyetia nia kugombea Urais wa Zanzibar Mhe. Hashim Salum Hashim akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar,    
Kada wa Chama Cha Mapinduzi  Mtia nia Kugombea Urais wa Zanzibar Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Hussein Ali Hassan Mwinyi akiwasili leo katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
Kada wa Chama Cha Mapinduzi  Mtia nia Kugombea Urais wa Zanzibar Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Eng Hamad Masauni akiwasili leo katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
Kada wa Chama Cha Mapinduzi  Mtia nia Kugombea Urais wa Zanzibar Mhe.Pereira Ame Silima akiwasili leo katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
Kada wa Chama Cha Mapinduzi  Mtia nia Kugombea Urais wa Zanzibar Mhe.Mwatum Mussa Sultan.akiwasili leo katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.