Habari za Punde

Mkutano Mkuu wa Kura ya Maoni Jimbo la Malindi Ubunge na Uwakilishi leo


Mjumbe wa Mkutano wa Jimbo la Malindi Zanzibar akitumia haki yake ya kumchagua Mbunge na Mwakilishi wa jimbo hilo wakati wa Mkutano Mkuu wa Kura ya Maoni uliofanyika katika ukumbi wa Tawi la CCM Gulioni Jijini Zanzibar.
Mwenyekiti wa CCM jimbo la Malindi, Juma Khamis Ame akifungua mkutano wa kura za maoni uliofanyika kwenye Tawi la CCM Gulioni mjini Zanzibarjana.
Baadhi ya wagombe wakisikiliza maelekezo ya upigaji kura.
Jumla ya wagombea 19 wamejitokeza kugombea ubunge na 19 uwakilishi.
Picha zote na Martin Kabemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.