Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa tena ya nafasi ya Ubunge wa jimbo la Geita Mjini, Naibu Waziri Kanyasu amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM wilaya ya Geita, Mwinyikheri Baraza katika ofisi za CCM wilaya ya Geita katika mkoa wa Geita
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu akiwa ameshika fomu ya kuomba ridhaa tena nafasi ya Ubunge wa jimbo la Geita Mjini, mara baada ya kukabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM wilaya ya Geita, Mwinyikheri Baraza katika ofisi za CCM wilaya ya Geita katika mkoa wa Geita
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu akiandika taarifa zake katika kitabu mara baada ya kuwasili katika ofisi za CCM wilaya ya Geita kwa ajili ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa tena nafasi ya Ubunge wa jimbo la Geita Mjini, Kulia ni Peter Makeleja aliyeongozana na Naibu waziri huyo katika ofisi hizo kwa ajili ya kuchukua fomu.
No comments:
Post a Comment