Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipita
na kukagua Daraja la Mkapa linalopita katika Mto Rufiji mkoani Pwani wakati
akitokea Masasi Mtwara kwenye msiba wa Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu
Benjamin William Mkapa leo tarehe 30 Julai 2020. Daraja hilo linalounganisha
Pwani na Mikoa ya Lindi na Mtwara lilijengwa na Serikali ya Awamu ya Tatu chini
ya Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa.
MNEC RUVUMA; VIJANA MSISHAWISHIKE KUINGIA KWENYE MAANDAMANO MKIPATA
CHANGAMOTO NI MZIGO KWA FAMILIA ZENU.
-
Wahitimu wa Vyuo mbalimbali wametakiwa kuepuka kutumiwa na baadhi ya vyama
vya siasa kujiingiza kwenye maandamano yakuleta uchochezi yanayolenga
kupele...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment