LICHA ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutangaza kufunguliwa kwa Skuli na Shughuli mbali mbali za kijamii kuruhusiwa, lakini bado baadhi ya skuli zinaendelea kuchukuwa tahadhari ya ugonjwa huo, pichani wanafunzi wa skuli ya Star Nursery school iliyopo Kichungwani wakinawa mikono kabla ya kuingia skuli humo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR -UFUNGUZI WA KONGAMANO LA MKUPONGEZA
RAIS WA ZANZIBAR
-
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amesema katika
kipindi cha miaka mitano iliyopita, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
(WEMA)...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment