Habari za Punde

Upepo mkali waezua mapaa kisiwani Pemba

VIJANA wakiwa wamepanda katika ukuta na kuangalia paa la nyumba inayomilikiwa na Shaibu Kifaya, likiwa limechukuliwa na upepo na kuanguka chini huko Mgombe njia ya Vikunguni Wawi, kufuatia upepo mkali unaoendelea kuvuma toka Juzi Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA

MMILIKI wa Nyumba ambayo paa lake limechukuliwa na Upepo huko Magombe njia ya Vikunguni Wawi, Shaibu Kifaya akiingiza ndani ya nyumba yake baadhi ya miti baada ya upepo mkali kuezua paa la nyumba hizo kama inavyoonekana katika Picha.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.