Habari za Punde

Wagombea Urais wa Zanzibar Kupitia Vyama Vya UNDP,SAU,DP na NRA Wachukua Fomu za Kugombea Urais Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara.

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC)  Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar Mhe Hamid Mahmoud Hamid (kushoto) akimkabidhi fomu ya kuwania Uraisi wa Zanzibar kupitia Chama cha Demokrasia Makini, Ndg.Ameir Hassan Ameir, alipofika Ofisi za Tume Maisara Jijini Zanzibar. 
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar  Hamid Mahmoud Hamid akimkabidhi fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar Mgombea Urais kupitia Chama Cha UNDP Mhe.Hamad Mohamed Ibrahim (kulia) hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Maisara Jijini Zanzibar.
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Issa mohamed Zonga,  akionesha mkoba wenye fomu za kuwania Urais wa Zanzibar  baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC, Jaji Mkuu Mstaafu, Hamid Mahmoud, (hayupo pichani).
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar  Hamid Mahmoud Hamid akimkabidhi fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar Mgombea Urais kupitia Chama Cha DP Mhe.Shaffi Hassan Suleiman (kulia) hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Maisara Jijini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar  Hamid Mahmoud Hamid akimkabidhi fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar Mgombea Urais kupitia Chama Cha NRA Mhe.Khamis Faki Mgao (kulia) hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Maisara Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.