Habari za Punde

Mkutano wa Kampeni wa Mgombea Urais wa Rais Zanzibar Kwa Tiketi ya CCM Mhe.Dk Hussein Mwinyi Wilaya ya Kaskazini "A" Unguja \Katika Uwanja wa Mpira wa Nungwi

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na Viongozi wa Chama wakiwa wamesimama wakati wakiimba wimbo wa "Sisi Sote Tumegomboka"  katika hafla ya mkutano wa Kampeni wa Mgombea Urais wa Zanzibar uliofanyika katika uwanja wa mpifra Nungwi Wilaya ya Kaskazini "A" Unguja, kumuombea Kura Mgombea Urais wa Tanzania Mhe. John Magufuli, Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Mwinyi, Wagombea Uwakilishi,Ubunge na Udiwani wa CCM. 

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika hafla ya mkutano wa Kampeni ya CCM kumuombea Kura Mgombea Urais wa Zanzibar.Mhe.Dk. Hussein Mwinyi, Wawakilishi, Wabunge na Madiwani wa CCM na Rais wa Tanzania Mhe.Dkt. John Magufuli, mkutano9 huo umefanyika katika Uwanja wa Mpira Nungwi Wilaya ya Kasakazini "A" Unguja. 

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakifuatilia mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CCM Mhe.Dk. Hussein Mwinyi uliofanyika katika uwanja wa mpira Ningwi Wilaya ya Kaskazini "A" Unguja.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi na WanaCCM wakati wa mkutano wa Kampeni wa CCM uliofanyika katika uwanja wa mpira Nungwi Wilaya ya Kaskazini "A" Unguja. kuwaombea Kura wagombea wa CCM wa Urais, Ubunge, Uwakilishi na Udiwani. 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM Mgombea Uwakilishi Nafasi za Wanawake Bi. Panya Abdalla Ali, wakati wa mkutano wa Kampeni ya CCM uliofanyika katika Uwanja wa Mpira Nungwi Wilaya ya Kaskazini "A" Unguja  
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwatambulisha Wagombea Uwakiulishi kwa Nafasi za Wanawake baada ya kuwakabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM, katika mkutano wa Kampeni uliofanyika katika uwanja wa mpira Nungwi Wilaya ya Kaskazini "A" Unguja.
Mgombea Uwakilishi kwa Tiketi ya CCM Jimbo la Tambatu Mhe. Haji Omar Heri akizungumza kwa niaba ya Wagombea wezake wakati mkutano wa Kampeni ya CCM uliofanyika Uwanja wa Mpira Nungwi Wilaya ya Kaskazini"A" Unguja, na kumuombea Kura Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Mwinyi na Wagombea Ubunge, Uwakilishi na Udiwani wa CCM.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe.Dk. Hussein Mwinyi akiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskaziniu Unguja, wakifuatila mkutano wa Kampeni wa CCM uliofanyika katika uwanja wa Mpira Ningwi Wilaya ya Kaskazini "A" Unguja. 
Viongozi wa meza kuu wakifuatila mkutano wa Kampeni ya CCM iliofanyika katika uwanja wa mpira nungwi Wilaya ya Kaskazini "A" Unguja wa kwanza Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi, Waziri Kiongozi Mstaaf Mhe. Shamsi Vuai Nahodha, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Bi. Laila Ngozi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Ndg. Perera , wakifuatilia mkutano huo wa kampeni uliofanyika Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Viongozi wameza kuu wakifuatilia mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe.Dk. Hussein Mwinyi, iliofanyika katika uwanja wa mpira Nungwi Wilaya ya Kaskazini "A" Unguja. wa kwanza Mke wa Rais Mstaaf wa Tanzania Mama Siti Mwinyi, Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe. Dk. Hussein Mwinyi na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Ndg. Iddi Ame. 
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akiwahutubia Wananchi na Wanachama wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakati wa mkutano wake wa Kampeni wa kuomba kura kwa Wananchi uliofanyika katika uwanja wa mpira wa Nungwi Wilaya ya Kaskazini "A" Unguja na kuwaombea Kura Wabunge, Wawakilishi na Madiwani wa CCM.
Umati wa Wanachama wa CCM wakifuatilia mkutano wa Kampeni  uliofanyika katika uwanja wa mpira Nungwi Wilaya ya Kaskazini "A" Unguja  wakati mgombea Urais wa Zanzibar Mhe. Dk. Hussein Mwinyi akiwahutubia na kuomba kura na kuwaombea Wagombea Ubunge, Uwakilishi na Udiwani wa CCM.
Umati wa Wanachama wa CCM wakifuatilia mkutano wa Kampeni  uliofanyika katika uwanja wa mpira Nungwi Wilaya ya Kaskazini "A" Unguja  wakati mgombea Urais wa Zanzibar Mhe. Dk. Hussein Mwinyi akiwahutubia na kuomba kura na kuwaombea Wagombea Ubunge, Uwakilishi na Udiwani wa CCM.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.