Habari za Punde

MAJALIWA AZINDUA KAMPENI ZA CCM WILAYANI MONDULI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akivalishwa vazi la CCM na Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu, Mama Regina Lowassa wakati alipozindua kampeni za CCM wilayani Monduli katika uwanja wa Barafu, Mto wa Mbu, Septemba 2, 2020. Kulia ni Mgombea Ubunge wa CCM jimbo la Monduli Fred Lowassa,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia wakati alipozindua kampeni za CCM wilayani Monduli kwenye uwanja wa Barafu Mto wa Mbu
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipowasili kwenye uwanja Barafu uliopo Mto wa Mbu wilayani Monduli kuzindua Kampeni za CCM wilayani humo, Septemba 2, 2020. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Arusha, Zelote Stephene . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.