MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa Chama Cha NRA Mhe. Khamis Faki Mgau, akinadi Sera za Chama chake kwa Wananchi wa katika Kijiji cha Kangani Pemba wakati wa mkutano wake wa ufunguzi wa Kampeni ya Urais wa Zanzibar.
BAADHI ya wagombea Ubunge na Uwakilishi wamajimbo mbali mbali Kisiwani Pemba kutoka chama cha NRA, wakifuatilia mkutano wa kampenzi za Siasa za chama hicho, mkutano uliofanyika uwanja wa mpira Kangagani
(Picha na Abdi Suleiman - PEMBA)
No comments:
Post a Comment