Habari za Punde

MJjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere Anogesha Mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa CCM wa Tanzania Mhe.Dkt.Magufuli Mjini Musoma.

Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere akiwasili na wanae Makongoro na Madaraka Nyerere kujiunga na wananchi wa mkoa wa Mara kumsikiliza Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika uwanja wa Mkendo mjini Musoma mkoa wa Mara leo Jumamosi Septemba 5, 2020
Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere akisalimiana na Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika uwanja wa Mkendo mjini Musoma mkoa wa Mara leo Jumamosi
Mama Janeth Magufuli akimwamkia Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere alipowasili kujiunga na wananchi wa mkoa wa Mara kumsikiliza Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika uwanja wa Mkendo mjini Musoma mkoa wa Mara leo Jumamosi
Mama Janeth Magufuli akizungumza jambo na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere alipojiunga na wananchi wa mkoa wa Mara kumsikiliza Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt John Pombe Magufuli katika mkutano wa hadhara wa kampeni katika uwanja wa Mkendo mjini Musoma mkoa wa Mara leo Jumamosi
Wagombea nafasi za udiwani katika mbalimbali mkoa wa Mara wakihamasishana kupiga push-up kuonesha uimara mbele ya Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt John Pombe Magufuli wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni katika uwanja wa Mkendo mjini Musoma mkoa wa Mara leo Jumamosi Septemba 5, 2020
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.