Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Anatarajiwa Kesho Kufungua Jengo la Abiria la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar

Sehemu ya mapokezi ya Abiria wanaosafiri nje kama linavyoonekani pichani likiwa katika hadhi ya kimataifa katika jengo jipya la abira katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Terminal III, linalotarajiwa kufunguliwa kesho 28/9/2020 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.
MUONEKANO wa ngazi ya kieletroniki ambayo watakua wanatumia wananchi mbalimbali wakati wa kufanya shughuli zao.
SEHEMU ya kupakilia na kupokea mizigo.
MAFUNDI wanafunga mashine ya uchunguzi  (SKENA) wakati wa kuingia kiwanjani.
Sehemu yakupitia Abiria wanaowasili Zanzibar na kuondoka Zanzibar ilioko katika  Jengo Jipya la Uwanja wa Ndege wac Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Terminal III 
Muonekano wa sehemu ya mbele ya jengo jipya la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar  baada ya kukamilika ujenzi wake Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.