Habari za Punde

RAIS DKTMAGUFULI ASHUHUDIA MUFTI WA TANZANIA AKIFUNGUA RASMI MSIKITI WA CHAMWINO IKULU DODOMA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akishirikiana pamoja na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally (aliyekuwa mgeni rasmi) kufungua kitambaa kwenye jiwe la msingi, wakati wa ufunguzi wa rasmi wa msikiti wa Chamwino, uliofanyika leo Oktoba 25, 2020 jijini Dodoma.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameungana na viongozi wengine kupokea dua iliyokuwa ikisomwa na  Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally (aliyekuwa mgeni rasmi) katika ufunguzi rasmi wa msikiti wa Chamwino, uliofanyika leo Oktoba 25, 2020 jijini Dodoma.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akishirikiana kukata utepe na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally (aliyekuwa mgeni rasmi) pamoja na viongozi wengine, wakati wa ufunguzi wa rasmi wa msikiti wa Chamwino, uliofanyika leo Oktoba 25, 2020 jijini Dodoma.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.