Habari za Punde

Waandishi wa Habari Pemba Wapata Mafunzo na Ueledi wa Kazi Zao.

KATIBU Tawala Mkoa wa Kusini Pemba Abdalla Rashid Ali, akizungumza na wafanyakazi wa wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Pemba, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Hemed Suleiman Abdalla. uliofanyika katika ukumbi wa Mambo ya Kale Chakechake Pemba.
AFISA Mdhamini wizara ya Habari Mstaafu Ali Nassor Mohamed, akiwasilisha mada juu ya utekelezaji wa Ilani ya CCM, kwa wafanyakazi wa wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Pemba, huko katika ukumbi wa Mambo ya Kale Chake Chake Pemba

BAADHI ya wanafanyakazi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Pemba, kutoka vitengo mbali mbali vya wizara hiyo, wakifuatilia kwa utulivu hutuba ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Kusini Pemba, wakati alipokua akizungumza nao huko katika ukumbi wa Mambo ya Kale.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.