Habari za Punde

Makamu wa Rais Mhe. Samia amuwakilisha Rais Dkt. Magufuli kwenye Mkutano wa dharura SADC Organ Troika Botswana

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Maofisa wa Jeshi la Polisi Jijini Gaborone alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sir Seretse Khama  Nchini Botswana lep Novemba 26,2020 kwa ajili ya kumuwakilsha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  katika mkutano wa Dharura wa pamoja baina ya SADC, ORGAN TROIKA, Botswana, Malawi na Zimbabwe Nchi  Zinazochangia Vikosi vya Ulinzi  na Amani vya Umoja wa Mataifa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kwenye Kikosi cha Umoja wa Mataifa Nchini DRC.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili kwenye  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sir Seretse Khama  Gaborone Nchini Botswana leo Novemba 26,2020 kwa ajili ya kumuwakilsha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  katika mkutano wa Dharura wa pamoja baina ya SADC, ORGAN TROIKA, Botswana, Malawi na Zimbabwe Nchi  Zinazochangia Vikosi vya Ulinzi  na Amani vya Umoja wa Mataifa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kwenye Kikosi cha Umoja wa Mataifa Nchini DRC unaotarajiwa kufanyika tarehe 28 Novemba 2020 Jijini Gaborone Nchini Botswana. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.