Habari za Punde

SOS Pemba wakabidhi msaada wa vyakula Skuli ya Sekondari Vitongoji

WANAFUNZI wa Skuli ya Sekondari Vitongoji wakifanya mitihani yao ya Muhula wa mwisho kwa kidato cha kwanza, Pili na Tatu, huku kukiwa na utulivu wa hali ya juu kwa wanafunzi hao.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

KAIMU Mratibu wa Shirika la SOS Kisiwani Pemba, Abdullkadir Ali Said, akizungumza na uongozi wa skuli ya sekondari Vitongoji wilaya ya Chake Chake, kabla ya kukabidhi msaada wa chakula kwa wanafunzi wanaotarajiwa kufanya mitihani yao mwaka huu .(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


UONGOZI wa Shirika la SOS Kisiwani Pemba wakiongozwa na Kaimu Mratib wa shirika hilo Abdullkadiri Ali Said wa tatu kulia, wakiwakabidhi wanafunzi wanaotarajiwa kufanya mitihani mwaka huu kwa  skuli ya sekondari Vitongoji vyakula kwa ajili ya kuwasaidia kipindi watakapokabiliwa na mitihani skulini hapo .(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.