Habari za Punde

Uzinduzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar Wafanyika leo na Kulihutubia Baraza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.\\i

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika maandamano ya kuingia katika ukumbi wa Mkutano wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar yakiongozwa na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi  uliofanyika leo 11/11/2020.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Maryam Mwinyi wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa baada ya kuwasili katika ukumbi wa mkutano wa Baraza leo 11/11/2020, kwa ajili ya kulifungua Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi  akiwa na Mkewe Mama Maryam Mwinyi, wakiwa katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi  Zanzibar, bkabla ya kulihutubia Baraza la Kumi na kulifungua rasmin leo 11/11/2020. Wakati Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Zuberi Ali Maulid (hayupo pichani ) akizungumza
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akilihutubia Baraza la Kumi la Wawakilishi  Zanzibar  wakati wa hafla ya ufunguzi wa Baraza hilo leo katika ukumbi wa Baraza Chukwani Jijini Zanzibar
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akilihutubia na kulifungua leo 

MARAIS Wastaaf  wakifuatrilia hutuba ya  ufunguzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akilihutubia Baraza leo wakati wa ufunguzi huo wa kwanza Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi. Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.DSkt. Amani Karume,Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe Dk. Ali Mohammed Shein na Makamu wa Pili wa Rais Mstaaf Mhe.Balozi Seif Ali Iddi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi  akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, baada ya kumalizika kwa hafla ya Ufunguzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.