Katika
kuendeleza kutekeleza agizo la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Baraza la Manispaa
mjini limegawa madust bin kwa jeshi la Zima Moto Zanzibar (KZU)
Akikabidhi vifaa hivyo vya kuhifadhia taka kwa
kamanda msaidizi wa kikosi cha zimamoto, alipokea kwa niaba ya Kamishna wa Zima
Moto na Uokozi Zanzibar Ali A. Maalmusi
Afisa
Uhusiano wa Baraza la Manispaa Mjini Ndg Seif Ally seif amesema Baraza la Manispaa
mjini limejipanga kuhakikisha wanauweka mji wa Zanzibar safi.
Afisa
huyo ameongezea kwa kusema Jeshi la Zima Moto wanatakiwa kuwa mabalozi wazuri
katika kutoa elimu ya usafi katika jamii inayowazunguka.
No comments:
Post a Comment