Habari za Punde

Kibwana Shomari wa Yanga Aibuka Mchezaji Bora wa Mchezo wa Mapinduzi Cup

MENEJA wa Shirika la Bima la Taifa Tanzania Tawi la Zanzibar Ndg.Yussuf Haji akimkabidhi zawadi Mchezaji Bora Kibwana Shomar wa Yanga baada kuwa mchezaji Bora wa Mchezo wa Kombe la  Mapinduzi Cup kati ya Timu ya Yanga na Namungo ulifanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar Timu ya Yanga imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0. Kushoto Meneja Uhusiano wa Shirika la Bima la Taifa Tanzania Ndg. Karimu Meshack. 

Meneja Uhusiuano wa Shirika la Bima la Taifa Ndg. Karimu Mashack akimpongeza Mchezaji Bora wa Mchezo wa Yanga na Namungo Kibwana Shomari wa Yanga kwa kuibuka mshindi wa mchezo huo na kujinyakula Shilingi Laki Mbili kutoka NIC na kushoto Meneja wa Shirika la Bima la Taifa Tanzania Tawi la Zanzibar Ndg.Yussuf Haji, hafla hiyo imefanyika baada ya kumalizika kwa mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Amaan. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.