Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango aliemaliza muda wake Khamis Mussa Khamis akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya Ofisi yaliofanyika katika ukumbi wa Wizara hio Vuga Jijini Zanzibar 26-01-2021.
Naibu Katibu Mkuu aliemaliza muda wake Khatib Mwadini Khatib kulia akimkabidhi Jalada la kazi Naibu Katibu Mkuu Mpya Khamis Suleiman Mwadini katika hafla ya makabidhiano ya Ofisi yaliofanyika katika ukumbi wa Wizara hio Vuga Jijini Zanzibar 26-01-2021.
Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango aliemaliza muda wake Khamis Mussa Khamis kulia akitiliana saini na Katibu Mkuu Mpya Wizara hio Juma Malik Akili katika hafla ya makabidhiano ya Ofisi yaliofanyika katika ukumbi wa Wizara hio Vuga Jijini Zanzibar 26-01-2021.
Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango aliemaliza muda wake Khamis Mussa Khamis kulia akimkabidhi Jalada la Kazi Katibu Mkuu Mpya Wizara hio Juma Malik Akili katika hafla ya makabidhiano ya Ofisi yaliofanyika katika ukumbi wa Wizara hio Vuga Jijini Zanzibar 26-01-2021.
Katibu Mkuu mpya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Juma Malik Akili akitoa nasaha zake baada ya kukabidhiwa Ofisi katika ukumbi wa Wizara hio Vuga Jijini Zanzibar 26-01-2021.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZBAR.
No comments:
Post a Comment