Habari za Punde

Yanga Mabingwa wa Michuano ya Mapinduzi Cup 2021 Kwa Kuifunga Timu ya Simba 4-3

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduziu Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya Mapinduzi Cup Nahodha wa Timu ya Yanga Haruna Nyonzima, baada kuifunga Timu ya Simba katika mchezo wa Fainali uliofanyika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Fedha Nahodha wa Timu ya Yanga Haruna Nyonzima baada ya kuibuka Mabingwa wa Kombe la Mapinduzi baada kuifunga Timu ya Simba katika mchezo wa Fainali uliofanyika Uwanja wa Amaan usiku huu.


Wachezaji wa Timu ya Yanga wakishangilia Ubingwa wao wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup baada ya kuifunga Timu ya Simba katika mchezo wao wa Fainali ya Michuano hiyo uliofanyika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar leo usiku.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.