Habari za Punde

Makamu wa Kwanza wa Rais atembelea Tume ya Kitaifa ya Uratibu na udhibiti wa Dawa za kulevya Zanzibar

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mh.Othman Masoud Othman  akizungumza na mmoja wa  wa Watendaji wa Tume ya Kitaifa ya Uratibu na udhibiti wa Dawa za kulevya Zanzibar, iliyopo Migombani Mjini Magharib Unguja wakati alipofika kwenye ofisi yao kubadilishana mawazo


 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mh.Othman Masoud Othman  akisaini kitabu cha wageni  cha Tume ya Kitaifa ya Uratibu na udhibiti wa Dawa za kulevya Zanzibar, iliyopo Migombani Mjini Magharib Unguja wakati alipofika kwenye ofisi yao kubadilishana mawaz

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mh.Othman Masoud Othman akimsikiliza mmoja wa Watendaji wa Tume ya Kitaifa ya Uratibu na udhibiti wa Dawa za kulevya Zanzibar, iliyopo Migombani Mjini Magharib Unguja wakati alipofika kwenye ofisi yao kubadilishan mawazo


Tume hio ipo chini ya Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa  Zanzibar. 

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mh.Othman Masoud Othman akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji wa Tume ya Kitaifa ya Uratibu na udhibiti wa Dawa za kulevya Zanzibar. Katika\ ziara hiyo aliambatana na Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe Saada Mkuya Salum na Mkuu wa Wilaya ya Mjini 
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.