Habari za Punde

Mbunge wa Jimbo la Uzini Naibu Waziri Khamis Hamza Chilo Ashiriki Ujenzi wa Taifa Mradi wa Ujenzi wa Skuli

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Uzini, Khamis Hamza Chilo  akishiriki zoezi la kupasua mawe katika Kijiji cha  Bambi Shehia ya Bambi Kijibwemtu, wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja ambapo ni eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa shule ili kuwaondolea adha wanafunzi ya kutembea umbali mrefu wanafunzi wa Kijiji hicho kufuata elimu
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Uzini, Khamis Hamza Chilo(kushoto), akishiriki zoezi la kung’oa  mawe katika Kijiji cha  Bambi Shehia ya Bambi Kijibwemtu, wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja ambapo ni eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa shule ili kuwaondolea adha wanafunzi  ya kutembea umbali mrefu wanafunzi wa Kijiji hicho kufuata elimu
Wananchi wa Kijiji cha Bambi wakishiriki zoezi la kukusanya mawe  katika eneo la  Kijiji cha  Bambi Shehia ya Bambi Kijibwemtu, wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja ambapo ni eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa shule ili kuwaondolea adha wanafunzi ya kutembea umbali mrefu wanafunzi wa Kijiji hicho kufuata elimu.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.