Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Ikulu leo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia  taarifa ya utekelezaji wa maagizo yake kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu aliyoyatoa wakati wa kuwaapisha katika viwanja vya Ikulu, yakiwasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Jamal Kassim Ali, wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAKUU wa Idara na Taasisi za Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar wakifuatilia mkutano wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maagizo ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, aliyoyatoa wakati wa kuwaapisha Mawaziri na Makatibu Wakuu, ikiwasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Mhe. Jamal Kassim Ali (hayupo pichani) mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 9-3-2021.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar wakati wa kuwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa maagizo yake aliyoyatoa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu, wakati wa kuwaapisha, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.