MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akisalimiana
na Mkuu wa Wilaya ya Magharibi A Unguja Bi. Suzan Peter Kunambi alipowasili
katika makaazi ya Wazee Welezo Unguja kwa ajili ya kuwasalimia na kuwakabidhi
Futari kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na (kulia kwake) Mkuu wa Mkoa wa
Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
akimkabidhi Tende kwa niaba ya Wazee wa Kijiji cha Welezo Bw.Jumanne Kitwana,
wakati alipofika katika makaazi yao kuwasalimia na kuwakabidhi Vyakula kwa
ajili ya Mtukufu wa Ramadhani.MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
akimkabidhi Sukari Bi.Mwanamize Nyange akipokea kwa niaba ya Wazee wa Kijiji
cha Welezo wakati alipofika katika makaazi yao kuwasalimia na kuwakabidhi
Vyakula kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
Mzee Jumanne Kitwana akitowa neno la shukrani kwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi alipofika kuwatembelea katika makaazi yao Welezo na kuwakabidhi Vyakula kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Jinsia na
Watoto anayeshudhulikia (Ustawii wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto )Bi. Abeida
Rashid Abdallah na (kulia kwa Mama) Mkuu wa Mkoa wa Mjiniu Magharibi Unguja
Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana na (kushoto)Mkuu wa Wilaya ya Magharibi A Bi.Suzan
Peter Kunambi
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
akizungumza na Wazee wa Kijiji cha Wazee Welezo Jijini Zanzibar, alipofika
kuwasalimia na kuwakabidhi vyakula kwa ajili ya Futari katika Mwezi Mtukufu wa
Ramadhani
WAZEE wa Kijiji cha Wazee Welezo Jijini Zanzibar
wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani)
akizungumza na Wazee hao alipofika kuwasalimia na kuwakabidhi Futari kwa ajili
ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, alipofika katika makaazi yao
WAZEE wa Kijiji cha Wazee Welezo Jijini Zanzibar
wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani)
akizungumza na Wazee hao alipofika kuwasalimia na kuwakabidhi Futari kwa ajili
ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, alipofika katika makaazi yao
Mzee wa Kijiji cha Wazee Welezo Jijini Zanzibar Mahmoud Buyunge akishangilia wakati Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wazee hao alipofika katika makaaziu yao kwa ajili ya kuwasalimia na kuwakabidhi Vyakula kwa ajili ya Futari katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
MZEE Shein Kombo akizungumza kwa niaba ya Wazee
wa Kijiji cha Wazee Welezo na kutowa shukrani zao kwa Mke wa Rais wa Zanzibar
Mama Mariam Mwinyi , alipofika kuwasalimia na kuwakabidhi vyakula kwa ajili ya
Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Bi.Mwanamize Nyange akizungumza na kutowa
shukrani kwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi , alipofika katika
Makaazi yao kuwasalimia na kuwakabidhi vyakula kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa
katika picha ya pamoja na Wazee wa Kijiji cha Welezo Jijini Zanzibar, baada ya
kumaliza kuwasalimiana na kuwakabidhi Vyakula mbalimbali kwa ajili ya Mwezi
Mtukufu wa Ramadhani.
No comments:
Post a Comment