Habari za Punde

Taasisi ya Taqwa Tanzania Yakabidhi Msaada wa Vyakula Kwa Watoto.

Mkurugenzi  Mtendaji wa Taasisi ya Taqwa Tanzania Dkt.Salha Mohammed Kassi (Katikati) akimkabidhi mmoja ya walezi wa watoto mayatima, sadaka ya Futari iliyotolewa na TAQWA kwa mayatima
KATIBU wa Jumuyiya ya Thafidhi Quran na Maendeleo ya Kiislamu Ole Maalim Sultan Nassor Hamad, akitoa maelezo kwa walezi na wazazi wanaolea watoto mayatima, kabla ya kugawa futari kwa wazazi wanaolea vijana hao.

MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Taqwa Tanzania Dkt.Salha Mohammed Kassi (Katikati), akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi futari kwa wazazi na walezi wanaolea watoto mayatima Permba.

(Picha na Abdi Suleiman -Pemba)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.