6/recent/ticker-posts

Waziri Mhe Simbachawene Azungumza na Waandishi wa Habari Afungia Madereva 10 Kwa Ukiukaji wa Sheria za Barabarani.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari uliofanyika katika Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji jijini Dodoma leo, ambapo ametangaza majina kumi ya madereva waliofungiwa kuendesha mabasi kutokana na ukiukaji wa sheria za usalama barabarani.
 

Post a Comment

0 Comments