Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AMSALIMIA ASKOFO PENGO NA ASKOFU RUWA'ICHI'

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na kuzungumza na Askofu Mkuu Msataafu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam Kardinal Poycard Pengo wakati alipomtembelea Ofisini kwake katika Kanisa la S.T Georseph Jijini Dar es Salaam leo Mei 07,2021.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na kuzungumza na Askofu Mkuu wa Dar es salaam + Jude Thaddaeus Ruwa'Ichi' wakati alipomtembelea Ofisini kwake katika Kanisa la S.T Georseph Jijini Dar es Salaam leo Mei 07,2021. kulia ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Bachwezi Mpango.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.