Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako ( wa pili kushoto) wakipata maelezo kutoka Mhadhiri Mwandamizi katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Paul Onyango (kushoto) kuhusu uzalishaji wa vifaranga vya kambale katika Maadhimisho ya Sita ya wiki ya Utafiti na Ubunifiu ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam, kwenye viwanja vya Maktaba Mpya ya Chuo Kikuu hicho jijini Dar es salaam.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment