Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar, Wajumbe Wakichangi Bajeti ya Serikali Kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022.

 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar.Mhe Mudrik Ramadhani Soraga akichangia Hutuba ya Bajeti  Serikala kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022, iliowasilishwa kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Jamal Kassim Ali, kwa Wajumbe ili kuichangia. 

Waziri wa Nchiu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe. Saada Mkuya Salum akichangia hutuba ya Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022, katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Jijini Zanzibar.Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar.Mhe.Lela Muhamed Mussa akichangia Hutuba ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa Fedha 2021 /2022. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango mhe Jamal Kassim Ali akifanya majumuisho na kutoa ufafanuzi kuhusu hoja na ushauri wa wajumbe walioutoa wakati walipokua wakichangia hotuba ya mpango wa maendeleo wa serikali ya mapinduzi ya zanzibar kwa mwaka 2021/2022 na makadirio ya mapato na matumizi ya kazi za kawaida na maendeleo ya serikali ya mapinduzi ya zanzibar kwa mwaka 2021/2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.