Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa na mazungumzo na Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF alipokutanana nao leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu.] 01/06/2021.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati)  alipokuwa na akizungumza na Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF alipokutanana nao leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu.] 01/06/2021.
Katibu  wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Injinia Zena Ahmed said (kushoto) alipokuwa akifafanua jambo wakati wa kikao cha Uongozi wa Mfuko ya Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/06/2021.  
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.