Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari kuhusu siku 100 tangu kuingia Madarakani, leo Juni 28,2021 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam.
BALOZI NCHIMBI ASHIRIKI KUMUAGA MZEE MSUYA
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi
akitoa salaam na heshima za mwisho wakati wa kuaga mwili wa Hayati Mzee
Cleopa...
54 minutes ago
No comments:
Post a Comment