RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo wakati akisalimiana na
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dr.Peter Mutuku Mathuki na Spika wa
Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Martin Ngoga Karoli, alipowasili katika ukumbi
wa Ikulu kwa mazungumzo na Ujumbe wa Bunge la Afrika Mashari ulipofika Ikulu
Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Katibu Mkuu wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki Dr. Peter Mutuku Mathuki na Spika wa Bunge la
Afrika Mashariki Mhe. Martin Ngoga Karoli, walipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe
wao kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Katibu Mkuu wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki Dr. Peter Mutuku Mathuki,Spika wa Bunge la Afrika
Mashariki Mhe. Martin Ngoga Karoli na Jaji Nestor Kayobera walipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wao kwa
mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
MapinduzI Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa
Bunge la Afrika Mashariki waliokaa (kushoto kwake) Jaji Nestor Kayobera na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik
Ramadhan Soroga na (kulia kwake) Katibu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dr.
Peter Mutuku Mathuki na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe.Martin Ngoga
Karoli.
No comments:
Post a Comment