WATENDAJI mbali mbali wa sheria Kisiwani Pemba,
wakiwa katika mkutano wa kuandaa mikakati ya kukabiliana na wimbi la tatu la
Covid 19, mkutano uliofanyika Mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
AFISA Mdhamini Wizara ya Afisa jinsia, ustawi wa
jamii, wazee na watoto Pemba Yakub Mohamed Shoka, akitoa muhtasari wa kikao cha
kuandaa mikakati ya kukabiliana na wimbo
la tatu la Covid 19, mkutano uliofanyika mjini chake chake na kuwashirikisha
kamati za ulinzi na usalama pemba nzima na watendaji wengine wa serikali.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MAAFISA wa Kamati za ulinzi na usalama Kisiwani
Pemba, wakifuatilia kwa taarifa ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, kuhusu wimbo
la tatu la Covid 19 na mikakati inayopaswa kuchukuliwa katika kukabiliana na
wimbo hilo, mkutano uliofanyika mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mattar Zahor Masoud,
akifungua mkutano wa kuandaa mikakati ya kukabiliana na wimbi la tatu la Covid
19, mkutano uliowashirikisha kamati za ulinzi na Usalama na watendaji wengine
wa serikali Pemba na kufanyika mjini chake chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAKUU wa Wilaya za Pemba wakifuatilia kwa makini
mkutano wa kuandaa mikakati ya kukabiliana na wimbi la tatu la Covid 19, kulia
ni Mkuu wa Wilaya ya Wete Mgeni Khatib Yahaya, katikati mkuu wa wilaya ya
Micheweni Kepeteni Mstaafu wa KMKM Mohamed Mussa Seif na kushoto ni Mkuu wa
Wilaya ya Chake Chake na Kaimu mkuu wa Wilaya ya Mkoani Abdalla Rashid Ali.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
Mkuu wa tiba dhidi ya maradhi ya mripuko Pemba
Dr.Aboud Khamis Maabadi, akiwasilisha mada juu ya hali halisi ya Covid 19
kipindi cha Aprili hadi Juni 2021 Kisiwani Pemba, katika mkutano wa kuandaa
mikakati ya kukabiliana na Covid 19 Pemba.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa mkoa wa Kaskazini Pemba Salama Mbarouk
Khatib, akiuliza swali katika mkutano wa kuandaa mikakati ya kukabiliana na
Covidi 19, mkutano uliowashirikisha wakuu wa kamati za ulinzi na usalama Pemba
na watendaji wengine.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Wilaya ya Chake Chake na Kaimu Mkuu wa
Wilaya ya Mkoani Abdalla Rashid Ali, akichangia katika mkutano wa kuandaa
mikakati ya kukabiliana na Covid 19, mkutano uliofanyika mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment