WASANII wa Ngoma ya Kirumbizi kutoka Pujini Salum
Shaame Othman na Mohamed Juma Omar, wakicheza ngoma hiyo kwa kupigana fimbo
wakati wa mashindano ya Vikundi vya Sanaa, mashindano yaliyofanyika Gombani
Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA)
WASANII wa Ngoma ya Msewe Juma Ali Juma na Khamis
Hamad Ali kutokma kambini kichokochwe, wakionyesha umahiri wakucheza ngoma hiyo
wakati wa mashindano ya vikundi vya sanaa, mashindano hayo yaliyofanyika
Gombani Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA)
MSANII Time Kai Hamad kutoka kikundi cha Uringe
kutoka Micheweni akiwaongoza wenzake katika kucheza ngoma ya uringe, wakati wa
mashindano ya Vikundi vya sanaa mashindano hayo yaliofanyika Gombani Chake
Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA)
WASANII wa Ngoma ya Mkota Ngoma kutoka Mkoani,
wakionyesha burudani ya ngoma hiyo katika mashindano ya Vikundi vya sanaa
mashindano hayo yaliyofanyika Gombani Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
KATIBU Mkuu wizara ya Habari Vijana Utamaduni na
Michezo Zanzibar Fatama Hamad Rajab, akizungumza wakati wa mashindano ya
Vikundi vya Sanaa mashindano hayo yaliyofanyika katika uwanja wa Gombani Chake
Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA)
WAZIRI wa Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na
Michezo Zanzibar Tabia Maulidi Mwita, akizungumza na wasanii mbali mbali wakati
wa mashindano ya vikundi vya sanaa mashindano yaliyofanyika katika uwanja wa
michezo Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA)
No comments:
Post a Comment